Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ccy majuzi kati nimelala gafla nasikia paaaaaah, yani sauti ni kama imelia nje tu hapo getini.

Hapo nishachanganyikiwa najua ni majambazi yanatoka kuingia ndani hivo, hapo nikajiuliza pesa sina hao majambazi waje kufuata nin.


Kumbe ni nyumba ya jirani ccy walitaka kuvamiwa mwenye nyumba kapiga shaba juu juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Ndo shida za kukaa uzunguni sis wanajua nawe ni tajiri!😊


Weee akili kubwa sis unapambana na pesa unazo big up
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Ndo shida za kukaa uzunguni sis wanajua nawe ni tajiri!😊


Weee akili kubwa sis unapambana na pesa unazo big up
Mtaa mzima ccy mi ndo sina gariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Basi nikawa nawaza ccy hawa wanataka kuja kuiba ma hotpot yangu mapya ninπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…