Nisubutuuuuuu! Li mshangazi na chuchu konzi wapi na wapi! Nishanyonyesha mie yajikute tuChuchu saa 6
Ubuntu botho kumbe imekua nahau... 😆 😆 😆Na kibaridi hiki cha dar noma sana UBUNTU BOTHO kama wote😍😍😘😘💞
Kumbe usharudi Tanzania sasa...
Kwani nilikuwa wapi?Kumbe usharudi Tanzania sasa...
kwa mtogole...Kwani nilikuwa wapi?
Kwa hiyo nimetoka kwa Mtogole na kurudi Tanzania?kwa mtogole...
Hapo namtumbo najiona kabisa,!Kabla hujalala fanya hili tizi mdada..mmama View attachment 2958172
Aah hii ligi imekua kubwa tayari..kama hujui ulipokuwa basi fanya ku ignore..au kule ulikokua unasema upo hukuwepo basi tufanye tupo Tanzania mjini selfika wach tuselfikeee...Kwa hiyo nimetoka kwa Mtogole na kurudi Tanzania?
Jaribu mm dada yako sina tumbo hivyooo...na nina watoto 6.... 😊 😊 😊 😊Hapo namtumbo najiona kabisa,!
Ngoja Leo nijaribu
Uko vizuri sis! Wacha niweke juhudi ! Kitambi sioo kabesaa 🤠Jaribu mm dada yako sina tumbo hivyooo...na nina watoto 6.... 😊 😊 😊 😊
Kabeeeesaaa... 🤣 🤣Uko vizuri sis! Wacha niweke juhudi ! Kitambi sioo kabesaa 🤠
Kalpana selfika bathi JamaniKabla hujalala fanya hili tizi mdada..mmama View attachment 2958172
Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o🎵Upendo tulonaoo ulitengenezwa namimi nayeye
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi tramuuuu🐒🎵🎵
Mrare unono wapendwa wacha nikapumzishe fuvu langu sasa😴💤💤😴😴💤😴
Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o
Hapa Nishavimbiwa magimbi nayo tumboni hayataki hata kumeng'enyeka haraka ili nikapige zoezi la kupunguza hili tambi msambao kama tuvofokewa na Dr Kalpana hapo dah!Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o
Hapa Nishavimbiwa magimbi nayo tumboni hayataki hata kumeng'enyeka haraka ili nikapige zoezi la kupunguza hili tambi msambao kama tuvofokewa na Dr Kalpana hapo dah!
Tambi msambao...🤣🤣🤣🤣🤣
Waoooh hongera kwa miaka 11 ya JF...Followers 0 doh!
Morning selfika