Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kuwatania waislam wewee
La hawla wala quwwata illa billah.
Nyie manaswara mnaamini mtaingia peponi kwa kumuamini nabii ISSAH

Wayahudi wanaamini wataingia peponi kwa kumuamini nabii MUSSA

Sie waislamu tunawaamini manabii hao wote na imani yetu kuingia peponi ni kumuamini mtume MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE.

Nyie mayahudi na wanaswara hamtoingia peponi kwa kutomuamini MTUME MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE.


Ngoja nipumzike Allah akijaaliya mapema niwahi Salat al-Jumu'ah.

Jumma Mubaraka , nakuombea dua uingie kwenye uislamu.
 
Mzee uzi ni wapicha au mawaidha ya dini?

Ndio maana mods huwa wanaishia kupiga pini nyuzi kwa sababu ya watu kuanzisha maudhui yanayoleta malumbano...

 
Mungu akiwa upande wetu binadamu ninani hata apinge???πŸ–€πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

Yanga daima mbelee πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€

Kila la kheri Yangaaa πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€

Enjoy your weekend na ushindi kabambe kutoka YangaaaπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ–€
 
Totooooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…