Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,911
Cat WalkMatching in the light of GodView attachment 2953877
Matching in the light of GodView attachment 2953877
Nkamu,Mrembooo
Nkamu,
Ughonile,Twambombo?
πππ
Ndagha...Yes mumy, twa mbombo tunyafu itolo...
Jambo sana kamandaJambo
ππππ!Tatizo hawaeleweki mara kanisani, msikitini guest club
Lala wewee
Lazima nitimize moja ya nguzo katika uislamu, wagalatia hamuelewi haya mambo.Lala wewee
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]Lala wewee
Na wewe pia unatamani kubadilika kuwa mwarabu ukifa kwenye uislamu?Lazima nitimize moja ya nguzo katika uislamu, wagalatia hamuelewi haya mambo.
Astaghfirullah, Allah akusamehe.Na wewe pia unatamani kubadilika kuwa mwarabu ukifa kwenye uislamu?
Acha kuwatania waislam weweeAstaghfirullah, Allah akusamehe.
Hii dini ya umma wetu huu si muarabu wala mhindi, yeyote aweza kuwa muislamu.
πππAcha kuwatania waislam wewee