spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,138
- 21,882
Chat na picha bossAbee
Miss you too π€©
Nipo vilevileππππKweli yani ndo maana una ka mwil kazuri potabooo..au ushanenepa? Maana nilikuona humu selfika long tym sana
Mbunge mtarajiwa fanya kunitumia vocha basi huna baya tajiri
YooooMiss you too π€©
Vitu vizuri mpaka raha!!ππ
Unichukulie kazawadi kamoja basi.π
Isingekuwa Uzee huu nami ningeingia huko tujichotee hela za bure bure πMbunge mtarajiwa fanya kunitumia vocha basi huna baya tajiri
Thanks love hii dedikesioooo huwa naipiga repeat mode 1 hata siku nzima huku nakumbuka uvokua ukiucheza mbele yangu haha nafurahi na kutabasamuuuuu mwenyewe!
Ukiachika nitafute ππππ
πΊUkiachika nitafute ππππ
Mkuu hiyo avatar hao jamaa wakifungwa usiitoeeee Baki nayo hivyohivyoUkiachika nitafute ππππ
Kuna watu wamepewa banned mfululu yaani wamepigwa Loki humu πππ€£Mbona kama uzi umepoa? Kuna watu siwaoni humu π π
Ndo maana aiseeKuna watu wamepewa banned mfululu yaani wamepigwa Loki humu πππ€£