Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban 😁tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.😳kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna😁
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu🥰
Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea 😁View attachment 2912635