Selfika na JF: Snap it. Show it

Walikua na wivu tu
Wakikosa totoz wanazishutumu vocha
Vocha tumeacha kupost na bado totoz hawapati sijui wanasemaje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Tafadhari rudi ktk tabia yako, hii haikufai na siitaki kuiona kwako
 
Hahah siwezi kutoa coca, mimi sio verified...

Mchana huu, vitu vyote vipo macho [emoji6]
Nje ya picha, nlikua najuaga wee mbaba mtu mzima mwenye miaka yake, kumbee walaaa
Ni yankiiii tyuuu wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…