Afu unajua nshawahi isikilizaKompa for life.
Lala na hiyo βsomething is going on.
No comment sweetheart, haya nenda ukalale kabla sijakufukuza...
Songi la ukweli sana hili
Very sweet!πSongi la ukweli sana hili
Can you spin some mdundiko tracks for me?
Had to do a whole search π€Can you spin some mdundiko tracks for me?
π
Mdunidko ni ngoma ya asili ya watu wa pwani huko au nimekosea?πHad to do a whole search π€
Nimeweka tu mdundiko walivyosuggest songs nikasema yupp...
View attachment 2910561
Will this do...? I kinda like it.View attachment 2910562
You are right!!Hii yangu itakua contemporary mdundiko! ππMdunidko ni ngoma ya asili ya watu wa pwani huko au nimekosea?π
Huyo aliyevaa shades,earrings and minyororo shingoni ni muimbaji au mzungusha kiuno? Or shabiki tu ametokea kwa video .
Natamani niwe hako ka Puma
Hahaha! naona,how's the groove ya hizo contemporary mdundiko? Nipe taste ..You are right!!Hii yangu itakua contemporary mdundiko! ππ
Eti mzungusha kiuno!π€£π€£
Ndo msanii mwenyewe sasa...
Mke mwenza πππππWe mke mwenzangu Lamomy selfika View attachment 2910362
Ndugu watazamaji tunasubiri...Mke mwenza πππππ
Mume wetu anaweweseka uko alipo, sio kwa u hair huo na karangi ka dubai awwwww π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
Naselfika ww njoo tumrushe roho mume wetu hapa.!!
We daktari utawaua π
βΊοΈβΊοΈWe daktari utawaua π
Kwahyo lile ua umeamua uzibe nalo sura.
Niko njiani nakuja kurekebisha hiyo nywele,rafikiπ