ππ
Wanatoa mbwinu za kudanga ππππ
Nina simu pia nina furaha malidhawa kabsa huo upweke sina kabsaSawa shemeji nimekuelewa pole sana.!!
Ntamwambia coca aje muishi wote akuondolee upweke π
Baada ya kuelewa ,nimecheka sana...ππ
Huwezi kukosa hata kibaka wakusogeza nae mwakaπ€ π€ π€ π€
Hahaa watu ni wehu sana walaiBaada ya kuelewa ,nimecheka sana...
Yeah naona,Hahaa watu ni wehu sana walai
Sina hata picha sikuhizi. Haya tupieni uzi unoge sasaYeah naona,
Mtupatie hizo picha sasa hata ukucha tuondoe mawazo muda huu.
Acha uchoyo, πSina hata picha sikuhizi. Haya tupieni uzi unoge sasa
She better ditch that skirt atembee "wowo" nje.
Sina hata picha sikuhizi. Haya tupieni uzi unoge sasa
Baunsa lol!Acha uchoyo, π
View attachment 2902100
Mwe Nkamu niliacha,ila nilikuja kwenye baridi nikazirudia socks
Happy new year
Hivi kumbe kuna uzi mwingine huku eenhe ! πππ nimeona na Mahondaw ameniita.