Selfika na JF: Snap it. Show it

Na akikomalia jambo sasa utasema analipwa 🀣🀣🀣
Hapa ananilazimisha kila siku nichukue kadi ya CCM na nilivyo siwapendi mbogamboga πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utachukua utake usitake


Nimemiss sana uwepo wake jukwaa la siasa, huku kwenye umbea mnamlazimisha tu, siyo hadhi yake huku.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utachukua utake usitake


Nimemiss sana uwepo wake jukwaa la siasa, huku kwenye umbea mnamlazimisha tu, siyo hadhi yake huku.
Siwezi hata kidogo 🀣🀣🀣
Yeye achague kati yangu na CCM anampenda nani??🀣

Huku mimi nikitoka naye anatoka, anafatiliaga ajue nacomment nini ndicho kinachomponza 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…