Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila zipo, na Zina Nia njema tu ya kusaidiana etc,nilivyoambiwa!

Ni vile tu mi sio mpenzi wa hizo issue
Sipendi ma group
Halafu sio Hawa jf wa Leo utoto mwingi ,wapo wa zamani sn ,wako vzr tu!
Wale wa get together 🀣🀣🀣
Wale nasikia ndo walikuwa balaa kwa kupelekeana moto mtafute Madame B akwambie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii cake nilipanga nimpe zawadi Tayana-wog kipindi cha bday yake nikala ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Joannah sisy naomba nikupe cake ya valentine 😍😍😍
Anne mtengenezee da Joa cake
Mwee
Kwahiyo Wizo wangu ameikosa!
Aipate tu hivyohivyo, hakuna namna.. na Mtumishi Joannah apate pia,, uzuri hamna mbambamba matajiriπŸ˜‚


Joannah una keki yako kwangu.
 
Wale wa get together 🀣🀣🀣
Wale nasikia ndo walikuwa balaa kwa kupelekeana moto mtafute Madame B akwambie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yes, Kuna nyuzi zao humu πŸ€£πŸ™Œ
Mi sijawahi enda nilikuwa naogopa kipindi hiko....

Hatari Kulikua na Kila mkoa duh , ila walikula maisha
Ni vile zile nyuzi zimekua edited sn na mods kiasi kwamba ukisoma hupati content πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…