Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina kumbukumbu sana aisee
Ya kwako hujawahi weka..ndio leo

Mrudishe dada yetu.
 
Wa zamani ndo mimi sasa
Hahah hujawahi ona sio kwamba sijawahi weka, wale wadau wa zamani kama Mahondaw Jadda watakuwa wanakumbuka...

Sakayo πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š, nisimjibie kama akiona mention hiyo juu atajibu...

Wengine wamekuja baadaye sana.

Ngoja nirewind kumbukumbu zangu japo wewe kwenye kumbukumbu zangu haupo kabisa...anyway,itakuwa nazeeka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…