Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣🀣 Weka hivyo hivyo
Natamani niwatumie video yangu Ila wizzy atanimind kinyama bora nikaushe
Ahh weeeh ! subutuuuu

Tuma bana unogeshe uzi story zimekua nyingi sana zinaharibu uzi!
Tupia mwaego



#Na picha
 

Attachments

  • Screenshot_20240120-104237~3.jpg
    42.4 KB · Views: 12
Mambo ya Location hayo

Mimi ndiyo maana nilimpiga marufuku Bibi yenu kuimba hata kwaya ya Church, maana tungekuja kuona picha za hivyo wakiwa Location na Choir Masters [emoji847]
maana tungekuja kuona picha za hivyo wakiwa Location na Choir Masters [emoji847][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu tupia acha hadithi za sungura na fisi 🀣🀣🀣🀣
Bila hizi hadithi za Sungura na Fisi mngenikuta Babu yenu nimeshajifia Kwa stress πŸ€—

Si mnajua tuna miezi 3 hatujapata pension zetu Wazee 😜

Kwanza fanya unitumie Kiko zangu nilizokuagiza, maana si Kwa arosto hili Mjukuu πŸ€—
 
maana tungekuja kuona picha za hivyo wakiwa Location na Choir Masters [emoji847][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu ni hatari Kwa Afya za waimba kwaya wa kike, kuja kutahamaki wife anajifungua mtoto kafanana na Choir master.

Ukiuliza wanakwambia Mkeo alimchukia Choir master akiwa Mjamzito πŸ˜…πŸ™Œ

Ukitoka hapo inakubidi kuimba wimbo wa Yesu nipe Uvumilivu huku unajikumbushia ile methali ya kale "Kitanda hakizai haramu" πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…