Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,929
Hahahahaha, hapo mahari 10m hutakiwi kulalamika kabisaBado Vijana wakitajiwa mahari ya shilingi milioni 10 wanaanza kuomba punguzo.
Hivi hawaoni kweli mambo yalivyonoga 🤗
Ukiongeza na ile PhD si ndiyo balaa 🙌😜
Weee Lamomy wewe ni mtoto mkareee mbichi kabisa acha hizooo!🤣🤣🤣 Nasubiri za warembo mi kabaya kabaya ujue mtaota
😊😊😊Weee mtoto mkareee mbichi kabisa wewe!
Msisahau story fupi fupi picha kwawingi Wapendwaaaa
Kesho nayo siku ✌️
Jaillaaahh!!!! Nyie miongozo ana haki kupiga reverse 😍😍😍😍Weee mtoto mkareee mbichi kabisa wewe!
Msisahau story fupi fupi picha kwawingi Wapendwaaaa
Kesho nayo siku ✌️
Utafanya niote usiku umeme umekatika giza kama lote
Inaumiza macho sis doh!!
Jikaze bwana weeeh.Utafanya niote usiku umeme umekatika giza kama lote
😂😂😂Inaumiza macho sis doh!!
😃😃SawaNaomba kupata jina la kitabu Mkuu.
Mie mpiga picha tu hapo nilikua nyuma ya hao🤠Jaillaaahh!!!! Nyie miongozo ana haki kupiga reverse 😍😍😍😍
Hili li uduguu mbona liko bomba sanaaa.!!
Udugu huo mgongo na hilo shundu mbinuko hatareeeeee 😘😘😘
No filter kubabaaakeeeeeeeee!!!
Natanguliza shukran, ikiwezekana kiambatanishe hapa mkuu.😃😃Sawa
Red eyes kiboko!
Me navoogopa ccy sijui nikipata ntakuajeRed eyes kiboko!
Haya weka yako sasa mpiga picha 🤣🤣🤣🤣Mie mpiga picha tu hapo nilikua nyuma ya hao🤠
Yani ukimwangalia tu utadhani lenzi za macho zinavutavuta🤠🤠🤠Me navooga ccy sijui nikipata ntakuaje
😂😂😂😂Inatisha aisehYani ukimwangalia tu utadhani lenzi za macho zinavutavuta🤠🤠🤠