Selfika na JF: Snap it. Show it

Na kweli nilikuwa nimekonda.

View attachment 1279224
Eeeh! Angalau sasa hivi umekuwa na mwili wa kiume sasa. Heaven Sent sio mtu mzuri kabisa. Big up kwa new mkwe, kwanza kakufanya uitwe baba(maana ulikuwa unatamani japo mtoto ni mkubwa kuliko muda wa kutamani
) halafu amekupa amani unaonekana tu una furaha sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…