Yaani hata flying fish sigusiππππ. Kwanza nikienda viwanja naanza kusinzia hahhahaha . Sema nitapita hapo kukusabahi, nitakunywa hata mocktail
Ni heshima waliyonipa jana kunitambulisha, na uzuri hawa tunaheshimiana sana. Siwezi kubali mtu amnyapie Tayana, wakati mdogo wangu omulasil yupo
Sisi kwetu huwa hatuibiwii
Ni heshima waliyonipa jana kunitambulisha, na uzuri hawa tunaheshimiana sana. Siwezi kubali mtu amnyapie Tayana, wakati mdogo wangu omulasil yupo
Sisi kwetu huwa hatuibiwii