Alipita ila hajatuma picha na Mother Confessor ndiyo sijamuona kabisa na Relief Mirzska naye sijui kapita kimya halafu nimegundua humu waliotuma picha wengi ni wanawake yaani wanaume waliotuma ni wachache sana tena siyo wale tunaokutanaga nao kule MMU yaani wengi wameuchuna aise