and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Huyo ni cocastic mashine ya umbea imepumzika.Dah cute ana tabu huyoππ
nimefika na mia moja wengine
Niwakute wapi Sasa hiviπ
Njoo utuone basi maana hata sisi tumekumiss!!π₯΄
Kidogo tu πΆβπ«οΈπΆβπ«οΈπCha ukorofii ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaa weraaa.
Duuh hadi ww π€£π€£π€£. Mi situmii chochote pm mummy mi pm yangu yenyewe imefungwa na funguo zimepotea chooni π.Kama mnavyotumiana huko Piemu....!
Shuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!nimefika na mia moja wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwijaku na mama zuhuraa, kimeumanaaa huku.
Mtu kaitwa kipwatee, woiiiiiih
niko hapa nachukua tips and tricksShuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!
Ipitie Basi iyo pm kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon naandika kitabuππ, siku 120 za mateso ya tumboππNtawaambia unaumwa na umeandikiwa special diet ila upo in denial!!!!!π
I mean no malice to nobody πππ€Shuhudia leo ninavyochukua pisi kali kiulanii!!
Hamna shida cutii [emoji3526][emoji2]
I mean no malice to nobody, we mwema KakaππDuuh hadi ww π€£π€£π€£. Mi situmii chochote pm mummy mi pm yangu yenyewe imefungwa na funguo zimepotea chooni π.
Hamna kitu chochote bana π€
Andaa daftari na kalamu.niko hapa nachukua tips and tricks
πππππ, Napita tuLeo umejua kuni surprise [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema nini we endelea kunipa pdf nienjoy
Nikinywa maji kwenye glass nakuona.
Kwanza Njoo loliondo mnadani kibaha kesho nikukandamize na mbuzi beberu mmoja.Kaka siku izi mbona hupiti Barabara ya sheikhππππ
nshafungua notepad hapa kwa pcAndaa daftari na kalamu.