Selfika na JF: Snap it. Show it

Me nasemaga hapa, zote hizi zinasababishwa na tamaa za pesa ambazo bila kujidhalilisha mwenyewe unaweza kuwa nazo

Sasa mpk unafikia hatua ya kubong’oka yote ya nini??
Watafute pesa kuepusha aibu ndogo ndogo 😁😁
 

Wanashinda piem kujitongozesha
 
Hakuna semester niliyokesha JF kama semester ya 2 😁😁😁😆😆😆.

Duuh sasa kilaza naye katoboa au ndo sisi ma jobless in the coming future 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Sio poa anyway wana selfika ningependa kuwashukuru kwa muda wenu kusema la kweli mmenifunza mengi wale niliowadhalalisha poleni sana kwenu ndo maisha haya 🤭🤭🤭.

Wale ma bestie zangu kwa heri ya kuonana natengeneza jina twitter huko ipi niwe maarufu zaidi 😁😁 JF hailipi hii.

And kabla sijamaliza nawShukuru nyote kwa kunipa airtime yenu it was really worth it.

ASTA LA VISTA FRIENDS ☺️

 
Hongera sanaa uko vizure!! Matokeo mazuri!
 

Kabla hujaondoka tuambie yule mliyekua mnachat nae mana tumekuona wewe tu!! Na kwann ulimtumia pic yangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…