Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,805
Acha tu shost humu usimuamini mtu siri ni ya mtu mmoja shougaaangu. utakaangwaaa bila hata kosaaa!! Unamuamini mtu unamsimulia vizuri mambo yakoo haaaaa!! Anavoenda kukusagia kunguni hutaamini [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
USI nambiee๐๐, Nime fanyaje Tena๐๐I'm watching u, closer.....
Polee๐๐
Nimetishiwa yaani sina hamu
Hata hivyo nilikuwa mjinga sana , this time nimeijua Jf .
Tena tubu kabla hajarudi YesuHata mimi hamniamini jaman
YESU RUDI
Jamani naomba tuzingatie kumjua, anaye mtumia Penseli 4 kuchafua watu
[emoji117]Tuki mjua shughuli Ime Isha[emoji855][emoji855].
# Nani Yuko nyuma ya penseli[emoji855]
Tena tubu kabla hajarudi Yesu
NothingUSI nambiee๐๐, Nime fanyaje Tena๐๐
Asante , huwa unafanya vyemaPolee
Ndo maana mi Huwa napotea zangu humu
Narudi nikiwa napumzika km hivi
Sera zetu ๐ panga mkononiNothing
Nakuangalia unavyofuatilia haya mambo....๐
Nije wapi uje unitubu
Asante , huwa unafanya vyema
Nimeongea na watu wengi humu ila haikuwahi kuwa hivyo .
Japo hapo ulipo
Mwambie Yesu naomba unisamehe dhambi zangu Zote
We mkurya?Sera zetu ๐ panga mkononi
๐Roho begani ๐
Hakuna jipyaImekuwaje Kwan [emoji848]
Nina Dem wa kizaramo๐๐We mkurya?
UsijaliAsante , huwa unafanya vyema
Nimeongea na watu wengi humu ila haikuwahi kuwa hivyo .
Hakuna jipya
Ni hearsay tu
๐๐๐๐๐Nina Dem wa kizaramo๐๐
Asante sana darlingUsijali
Humu Kuna wastaarabu,
Kuna washenzi ,Kuna wanafki km mtaani tu....
Cha mhimu be u,wala hakuna wa kukufanya Chochote na hivi hatujuani
Fresh yaani .