Kuna Siku nilikoment kitu humu kuwa kuna mtu nimemmiss nimemiss kupakwa asareeee malayyaa mmoja aniquote kuwa tunamjuaaa uliemmisss!! Akawa anaimba alaambaa alaambaaa !!
Badae nashangaa naulizwaa nyieee!!
Halafu sijawahi omba msamaha nirudiane namtu !!
Kama upo na mtu Hivi hadi ukandie mwanamke mwingine??? mkikomaa na malovee yenu mnapungukiwa nini??? Au kama umejilengesha si upambne naharee zako ugongwe yaishe?? Mbaya zaidi unamsema mtu anafikishiwa kama yalivoooo nguruwe pori nyieee!!