Selfika na JF: Snap it. Show it

Si kweli labla umepanga kumchafua ila hata kama ni kweli hebu funika kombe yapiteπŸ˜”
mshenziii kabisaaa.. hana akili.. nilipotezea hilo mambo toka juzi.. naona wanaendelea kutunga story..

Sasa acha nikaaange mtu na mafuta.. hao wanao sema naumisha nimetoka na Dr Lizzy .

.. kuna jina mmoja humu anaitwa Rabbitus .. huyu dogo msenggee sana.. yeye anaenda mfukuzia @tinsley.. anaenda mtishia anasona PM zake zote, anamtishia nimeuundia jamaa kikundi kwamba asimfate @Tinsley ni mtu wangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. na kuanza kueleza habari za kuwa na date na Dr Lizzy na tahira mmoja hivi.. ili dogo amind anipige cha mbavu.. kitu ambacho sio kweli.. bahati nzuri yule mtoto sio mnafiki na kanaogopa upumbavu kakanichana .. Rabbitus acha ushamba.. mrudishie dogo ID yake.. hayo mapenzi ya kizamani unawivu hadi una beba na ID ya mtoto mdogo yule ...

Intelligent businessman unaona maupuzii ya humu.. tunakaa kimya tu.. ila watu humu washenzi sana
 
Kumbe ni hivyo hapa ban zitatembea maana kumbe wenye Jf yao wanazingua ngoja nikimbieπŸ™†πŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
 
@nuzul
Sema Kuna watu mabwege kweliπŸ˜‚πŸ˜, una iba I'd ya mtu ili iwejeπŸ˜‚πŸ˜
 
huyo dada tahira sana kazoe uswahili uswahili kama mchawi na kutungia story watu.. mtu anaomba vocha hadi za elfu tatu kwa wadogo zake kina Lenie kama sio mwehu ni nini hiyooo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nuzulati
Acha apigwe tuπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜, tuta zika bahariniπŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ‘‰ Halafu kutwa ana jitia u gangsterπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…