Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
Dahππ
naangalia upo page gani π π π π ..Kusurvive jf inahitaji moyo wa chuma akiyanani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Doh afadhali aweke hapa na mimi niwajue watu ambao nina mahusiano nao mana siwajuiπMwambie national akutumie PDF lako ujionee ulivyokiwasha
Mie mwenzio hata sielewi hapa naona mapicha pichaπ¬Hizo habari za uongo anazosambaza hapa ili tu kutafuta attention yawatu humu!! Mbona hajataja hao mmoja baada ya mwingine kataja za wachache tu???
Pandisha mm Nina wachumba 4 na wakewenza2 alafu siwajui pandisha niwajue angalau πππAunt nipandishe mkekaaaa?????
Naomba ulinzi mimi
watu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
Nimechekanaangalia upo page gani π π π π ..
πππShusha pdf ππDah
Nashangaa yangu ya jezi
Kumbe Kuna Makubwaπππππ
Watu washapima watu na darubiniπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Jfπππππππ₯π₯π
Aiseeewatu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
πππwatu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
Naomba usinihusishe na upuuzi wenu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!π π π watu hawajui wapo kwenye mkeka gani.. kama enzi zile shule tokea wanashusha kidogo kidogo kama hii sasa
Aunt mkeka unapanda sasa hivi kaa mkao wa kulaPandisha mm Nina wachumba 4 na wakewenza2 alafu siwajui pandisha niwajue angalau πππ
Mimi nimesoma humuhumu πππππShusha pdf ππ
π π π nina ma file hapa.. naangalia nani ni nani.. . nachagua tu niachie page ipi. kama loan oficer anapo amuwa kutoa mtonyo au achelewe kidogoNimecheka
Nashindwa kuendelea kusoma
Ngoja nicheke kwanza
Halafu nipo kwenye daladala
Dhambi hizi π€£π€£π€£π€£π€£
Hadi machozi yananitoka
πππMtaachana wakat mnapendana muanze kutupa shida wajumbeAiseee
Nyieππππ
Humu ndani au wanataka tuachikeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
ntamuambia unamtafuta mmalizane[emoji23]