mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,367
- 75,697
Kabisa😂hahaa
kwani we ni lishangazi?😂
Kumiliki kabisa uongo ila ofa noma[emoji28]
mambo yake hayanihusu😂Wewe unajua kila kitu nina uhakika huo
[emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona sijawahi save picha ya mtu humu. Inisaidie nini?
Dah umeua mahusiano yangu na Ms eyes au?Sasa mbona nimeambiwa nimeharibu mahusiano yako nikakunyakua?? Hivi humu selfika ndio mnavyoishi hivi??
Aah, nimeshtuka😂Huyo ni mshamba nimemquote sio wewe
mambo yake hayanihusu[emoji23]
yeye kaniambia id anaitelekeza, muwe na amani
😅😅😅😅 pamepo sana, nilitaka shusha folder zimaa, acha nilale zangu. kwanza silipwiJe mko tayari kwa PDF No. 3........????????
Mzigo unapanda kama ulivyooooo
Naomba nipewe ulinziiiii
Nipo confused hadi nakutaja wewe😉🤣🤣🤣 mbona ghafla?
😂 watu wa selfika wanakuchanganya?Nipo confused hadi nakutaja wewe😉
harudi tena huyo....Mwambie arudi ashihudie harusi ndio aondoke
Hizo habari za uongo anazosambaza hapa ili tu kutafuta attention yawatu humu!! Mbona hajataja hao mmoja baada ya mwingine kataja za wachache tu???Ana matatizo gani nae😁😁
Kanichanganya aliposema amevunja mahusiano yangu na mimi sijawahi kuwa na mahusiano hapo ndio nimedata kabisa😂 watu wa selfika wanakuchanganya?
Nipo sina chakusema bado natafari mashtaka yanguDogo leo huna vocha nini? Mwachiluwi
HahahahahaKijana epula zinaaa
Poleeee🤣🤣🤣 naumwa