calm down rafiki yangu . Usikasirike acha lipite ambalo lime kukwaza.. ishi kwenye dunia yako ya furaha πππ.. ebu chukua kwanza maua yako πΉπΉπΉ.. usikasirike
calm down rafiki yangu . Usikasirike acha lipite ambalo lime kukwaza.. ishi kwenye dunia yako ya furaha πππ.. ebu chukua kwanza maua yako πΉπΉπΉ.. usikasirike
Hakuna mtu nime wahi mtongoza humu JF zaidi ya utani tu.. kama yupo anitukane au ajitokeze na ushahidi.. humu naishia utani mkuu.. siwezi tongoza ID mie π π
wadada wa JF nime πππ... wana ma bifu.. ukiangalia kiini chake hakieleweki.. mie napenda watu wapendane.. sijawai gombana na mtu JF hata nikimkosea huwa naomba msahama.. acha nile vitu mzee