Selfika na JF: Snap it. Show it


Wivu unamsumbua hana lolote mfyuu zake!![emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe naangalia game la MUN na TOT
 
Udugu mbona kadogo kabisa kwann unajiita lishangazi?? Upo vizuri sana hapo umezaa, sipati pic kabla ulikuwaje
Hahahaaa mie juu mwembamba chini nimejaa kidogo uduguuu πŸ˜›πŸ€—!
Pia ni limshangaziii lakwendraaaaaa !🀣🀭;

Uwiii kesho uduguuu!😘😘πŸ₯°
 
Hahahaaa mie juu mwembamba chini nimejaa uduguuu [emoji14][emoji847]!
Pia ni limshangaziii lakwendraaaaaa ![emoji14][emoji1787][emoji2960];

Uwiii kesho uduguuu![emoji8][emoji8][emoji3059]

Sio kweli mishangazi yote nimeiona vimbau mbau kwa mabonge!! Sema nashangaa wanaokuita dada yao!!! Mbona wao ndo km madada sasa?!! Sema wamedumaa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…