Tumsute?Itakuwa wewe ndio uliyemwambia mana namalizia kufuta simu inaita napewa vidonge vyangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliumia kupitwa pia[emoji25]
π€π€ NuzulatiWeee hebuu wekaa kwanzaaa Kwani weee mnene kweli???π€£π€£π€£π€ Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π€
Mashangazi?Ila uku kwa wazee napewa na nafungashiwa niongeza
ππ€£ππ€£π€£Wifi nawe hujaona?? Subiri niongee na tajiri km nirudie
Irudiwe jamaniπ. Na refresh page kila wakati nione kama nitapata kituWifi nawe hujaona?? Subiri niongee na tajiri km nirudie
Tumsute?
Vidume tuna itana kazini,mchongoni na hata shambani.Ukuje home siku moja
[emoji23][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Anapita kimya kimyaπ. Nasubiri irudiwe jamani nimeghairi hata kuoga mpaka nione inarudiwaπKivumbi sijui kajuaje nyie??
Wamempelekea taarifaa!π€Kivumbi sijui kajuaje nyie??
Anapita kimya kimya[emoji23]. Nasubiri irudiwe jamani nimeghairi hata kuoga mpaka nione inarudiwa[emoji17]
Wamempelekea taarifaa![emoji1783]
Hii ndio jf banaa hahahaaa
Kapita kimya kimya basiπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu ujue serious sitanii
Ongea nae, maana nasikia kufa kufaππ€£ππUnatamani kumpa hi ila utafanyaje na ushaachwa!!! Sema niongee nae wifi tumrudishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba wa Intelligent businessman π€ Anaitwa bichwa komweeeNi nani huyo bichwaππ
Kapita kimya kimya basi[emoji23]
Kama bei gani?ntakupa chimbo PMπ uwe na hela lakini
Hahahaaa... kuhusu kupewa taarifa zako za selfika umenikumbushaa kitruuu em nicheke kwanza bwahhahahaaaNimechooka yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]