Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Dah halafu ukiingia kwenye ndoa eti ndo wachumba wengi wanatokea π¬π¬πππUsinge kuwa Ume olewa, ninge let's posa keshoππππππ
Dah halafu ukiingia kwenye ndoa eti ndo wachumba wengi wanatokea π¬π¬πππUsinge kuwa Ume olewa, ninge let's posa keshoππππππ
We toka 2021 nili kutumia pm zaidi ya 30ππ€£π€£Dah halafu ukiingia kwenye ndoa eti ndo wachumba wengi wanatokea π¬π¬πππ
Kipindi hicho nilikuwa kwenye uchumba sugu hata pm nilikuwa naogopa kujibu π¬π¬ππWe toka 2021 nili kutumia pm zaidi ya 30ππ€£π€£
Basi hongera yake mpendwa, hope usije badilika ukawa dunga dungaπ€£πKipindi hicho nilikuwa kwenye uchumba sugu hata pm nilikuwa naogopa kujibu π¬π¬ππ
Labla abadilike yeye nampenda huyu kiumbe mpaka najishangaa π¬π¬Basi hongera yake mpendwa, hope usije badilika ukawa dunga dungaπ€£π
Hongera yake, mi napenda ugaliππLabla abadilike yeye mwenzenu nampenda huyu kiumbe mpaka najishangaa π¬π¬
Hatuna vochaa.Amkeni tuselfike
Mchumba umemisika kweli, ebu picha chap kama mwiziπHatuna vochaa.
Cna vochaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba umemisika kweli, ebu picha chap kama mwizi[emoji16]
UsiwazeeCna vochaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba gan sasa hampi vocha, mchumba ake?
Nasubiriiii,Usiwazee
Wewe tena?
Mzigo utakufikia
Nasubiriiii,
Ukidanganyaa na leo.
Ntakuvunja njugu hizoo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Pita chap basi kabla Carasco Putin hajaamkaNasubiriiii,
Ukidanganyaa na leo.
Ntakuvunja njugu hizoo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Si huyo hapoo kashakujaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pita chap basi kabla Carasco Putin hajaamka
Ushindwe ulegeeAkikudanganya njoo chapu mrembo
Bora umuambiee kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]