Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado bado...ukiwahi sana pesa zinaata katikati halafu unashindwa kuvimba tarehe husika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati wenzio ndio kwanza wanavimbaa na kujimwambafy
Naona na tarehe za kuenda kuhesabiwa zimeshafika,, vipi tumeshaenda kuhesabiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…