Mimi sio mlevi sikeshi baa
Situmii hela. Ninja kungfu masta hahaha master.
Nina kikao. Nina kikao. Nina kikao.
Nisipolewa nina kikao. Nikizikosa nalala zangu.
Nikizipata mi ndo boss.
Mimi sio mlevi sikeshi baa kama pombe hauiwezi nenda kwa wenzako wanaoshangaa π