Selfika na JF: Snap it. Show it


kaolewa na mzee sana??
 
Sema na umakonde umembeba

Ko shemejio alifiwa na mkewe??
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana 🤣
 
Ndio mwaka 1999 mkew ndio alikufa kama kuoa 2009 mahali mwezi wa sita ndoa mwezi wa tisa alikuwa na haraka sana baba Angu Alikuataki ila katusaidia sana yule kizee a abarikiwe sana

Duh!! Huyo dada ako alimpendea pesa
 
Duh!! Huyo dada ako alimpendea pesa
Mimi dada zangu wote wanapenda pesa ila Mungu mwwema wote wameolewa huyu wa mwisho mumewe anakoma sana ni anAppelekesha sana af ngumi mkononi huyu pindi tuppo wadog tulikuwa tunapigana haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…