Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahahahah ahaya nenda uki babe wako kafika ujafunzwa mwanaume akitoka kazini kama ulikuwa unapiga story na wenzio unaacha unaenda msikiliza je kama anataka cha jioni aemde mazoezini vzr haya toka hapa sitaki kukuona [emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww!!!

Naenda kumpa yotreee!! Namsusia kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…