Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Mimi siwajui maex wake muulize mwenyewe Jack Palladino anawaficha kama utomboMimi hata simfatilii kachat na nani? Kazi yangu afurahie uzee wake, si unajua mtu akizeeka anarudi utoto, mimi sina wivu wa kishamba na ulcers sipatiii ng’o [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla sijasahau naomba huo umbeya wa maex wake wenza [emoji2222]
Utamuua kaka angu kwa pressure wewephahaha
mke wa mtu huyo unapigwa changa la macho😅
Ahahhaha af mimi niataenda kukutambulisha bi mkubwa hana shida kabisa [emoji23]
Mimi siwajui maex wake muulize mwenyewe Jack Palladino anawaficha kama utombo
Ahahahah bimkunwa akiweka dau kubwa tu mimi nakuuza kabisa si unajua mimi napesa damu damu 😂😂😂Ataenda kunitambulisha mwenyewe shem ako, wewe huchelewi kupanga mbwinu na bi mkubwa mnimwagie tindikali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mwaga kibunda hapa 😂😂😂😂 au nileweshe na windok tatu tuUnawajua na uzuri kunificha huwezi lazima utaniuzia umbea huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahha mimi now namtaka ………….nakufanyia mpango uchomoe hii pisi
Ahahahah bimkunwa akiweka dau kubwa tu mimi nakuuza kabisa si unajua mimi napesa damu damu [emoji23][emoji23][emoji23]
charrote huyu hapa ongea nae vzr akuulewe anikubalie ombi langunani huyo
Haya mwaga kibunda hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nileweshe na windok tatu tu
Ex zake ni waswahili wa mazense jipnge unaanzisha ugomvi na unakaaa nyumba ya viooNyie wote hamniwez hata muungane na ex’s wake wote nawavuruga mchana kweupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahhah yeye ndio akufanyieKibunda namfanyia shopping ya vinywaji shemejio anayenikaza mie [emoji2222][emoji2222]
🥸🥸 kazi za vijana hizo.. sie hatuna hayo mamboWee Kweli??? Kumbe ndio kazi mnayoifanya humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Habari yako ndugu yangu Mwachiluwi, nime kukumbuka Sana best angu.Ahahha mimi now namtaka ………….
nakufanyia mpango uchomoe hii pisi
😅😅 umeona mie uninyime tunda, ukampe mmbunge huna maana kabisaMimi niko Sumbawanga kwa yule mbunge aliyepewa maji machafu anywe, huko yupo na yule member aliyemfanya kalala na viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana na vikongwe wenzio 😂😂🥸🥸 kazi za vijana hizo.. sie hatuna hayo mambo
Nakuonea huruma wewe wenzio walisemaga ivyo ivyo Jack Palladino akikukuteka hapa utaanza mpangia sitak uchat na fulan then vidonda vya tumbo ivyooo kisa wivu haya
Ahahahahah kwahiyo unataka nikikufumania nikupe pesa ya pongezei?Mxxiewwww mimi na wanaume choka mbaya tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nataka matajiri hata akikufumania haji kukuletea uzi wa masikitiko ndio kwanza anakupiga na vibunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahaha
usibadilishe mada[emoji28]