Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Sawa boss ladyyyAcha uchawi ufike mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nisipompenda tajiri Jack nitampenda nani??
Huyo babe wangu tuna sehemu yetu tunayokutana humu wanga wengi hamchelewi kutupeperusha
Sioni kitu[emoji28][emoji28][emoji28]
Usije ukakimbia lakinNgoja aje hapa aseme mwenyewe kama kweli anakupenda [mention]Cute Wife [/mention]
Unamdanga uku moyo una mzomea Jack PalladinoAchana naye kitoto iko, wewe ndio umejaa kwenye moyo wangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ndio uoni akiingia hapa lazima aangaze macho kama nipo au sipo [emoji23][emoji23][emoji23] Cute Wife up wapi
Ahahhahaha sawa mimi nakaa mbali kwenye jambo la mtu mtaacha tu akikuliza usije nishtakia lia uko uko 😂😂😂Chineeekeeeee wewe hunishtui kabisaaa
Hapa napagawa na Jack tu!!! Hapa nimemtaja mapaja yasha shake [emoji39][emoji39][emoji39]
Huyo anajua nini mwanamke anataka kuanzia matunzo mpk kitandani
Nikikuona wewe nachanganyikiwa kabisa[emoji4]
Ngoja aje hapa aseme mwenyewe kama kweli anakupenda [mention]Cute Wife [/mention]
Usije ukakimbia lakin
Unamdanga uku moyo una mzomea Jack Palladino
Ahahhahaha sawa mimi nakaa mbali kwenye jambo la mtu mtaacha tu akikuliza usije nishtakia lia uko uko [emoji23][emoji23][emoji23]
Kigoma mwisho wa leli sioAkimbie aende wapi? Mimi kwake nimefika [emoji4][emoji4]
Hamia kwake kwabisa sasa 😂😂😂Simdangi nampenda yeye na familia yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kigoma mwisho wa leli sio
Nakuonea huruma wewe wenzio walisemaga ivyo ivyo Jack Palladino akikukuteka hapa utaanza mpangia sitak uchat na fulan then vidonda vya tumbo ivyooo kisa wivu hayaMaster shivo nilizwe na mapenzi?? Hapa halii mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jack Palladino njoo mchukue mchumba wako uku anatusumbua bhna 😂Eee ndiwoooo [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Hamia kwake kwabisa sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuonea huruma wewe wenzio walisemaga ivyo ivyo Jack Palladino akikukuteka hapa utaanza mpangia sitak uchat na fulan then vidonda vya tumbo ivyooo kisa wivu haya
Ahahhaha af mimi niataenda kukutambulisha bi mkubwa hana shida kabisa 😂Sitaki bi mkubwa ajinyonge uzeeni maana atachemka battle zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada ako nina hekaheka haswaaa!! Yeye awe anakuja kwangu, bi mkubwa tutakutana kwenye matukio ya kifamilia [emoji2222]
hahaha
mke wa mtu huyo unapigwa changa la macho[emoji28]