Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ahahahah mmenunua super market au kwa mangi hahahahKunae shower dogo, tulia
π enzi za Kumaliga πββοΈAhahahah ase mkisi nilikuwa siupendi basi tu afu ukikitwa ujavaa mkisi ugomvi ahahah uliku mwaka gani ww paple
Sokoni IlalaAhahahah mmenunua super market au kwa mangi hahahah
Ahahahahh nipatie mmoja wa arusha nichiibe mpaka nikinai πUsiambukize wenzako njaa zako za mishangazi π
Ahahah ndio ,maana National Anthem Γ na ukurutuSokoni Ilala
ππ changamoto ya elf 50
Ahahaha uyo mzee alikuwa hatar ase na ndiamkama yule babu dah simsahau π€£π€£ ukiandikwa peer umekwishaπ enzi za Kumaliga πββοΈ
π π basi hiyo bado haijawa changamoto.. ikikaza sana nicheki tusake mtejaaaππ changamoto ya elf 50
Niulze simu ya laki 2
Jamani
Ahahah ndio ,maana National Anthem Γ na ukurutu
Hahahaha,tusikiie sauti zimtoazo na kumuingiza NYOKA PANGONI
[emoji28][emoji28] unaweza kuta kama ya mbweha
[emoji28][emoji28][emoji28] nyie si ndio tunagombania ngozi humuuu ... roho yako inakupaje raha.. kamata nyama ule nyama
Tuimbe leo kidog πMimi niko Sumbawanga kwa yule mbunge aliyepewa maji machafu anywe, huko yupo na yule member aliyemfanya kalala na viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuimbe leo kidog [emoji23]
ππππ alikuwa anakufos uimbe sauti ya nne?Nimeimbishwa nyimbo ya kiutu uzima usiku mzima na shemejio nimechoka, miguu haina nguvu hata ya kunyanyuka. [emoji2222][emoji2222][emoji2222]