Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maneno tuache tunaomba mselfike full body hatutaki visigino na milonjo [emoji12]

Hata km una bichwa km tunda ya ubuyu we tupia, hata km pimbi wewe lete tufurahi wajameni life is too short!! Tupeni burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiiii sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa uduguu, Mjep babee naomba zawadi za ushindi, usisahau na vocha kubwa uloahidi, na hujatimiza had sahivii!

Unanitakia nn lakinii??

Leo patakua hapatoshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe wale dagaa ulioniahidi vipi mpk leo??
 
ishi kwa maarifa na sio hisia🤒🤗
FB_IMG_16913385600215724.jpg
 
Leo patakua hapatoshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe wale dagaa ulioniahidi vipi mpk leo??
Uduguuu naona selfika, iliwakaa vibayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mna heka heka nyie, lol
 
Back
Top Bottom