Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunda ni nan huyo au tunda celebrity
achana na vya wakubwaa kijana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tunda is no more kizungu wanasema.. sema nini mwanaaa.. acha jambo moja kama mwamba na mwanaume mwenzako.. kaa mbali kuzunguzia Depal huko pm na hasa kuizungumzia in negative taarifa zaniangukia mikononi mwangu ... unaweza ukawa humpendi.. ila kausha kibingwaaa .. sie wote wanaume .. Najua umeisha elewa . ukiona mtu humpendi potezeaa sio unaanza muangelea negative na hata kama kweli unakuwa sio msemaji wake katika maisha yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…