hahaha!Mnywanii mnywanii mnywanii hadi wewe wa kuninafkiaa kweli mnywanii π !!
Sina Hizo sifa hata!!
Hapana sina urembo wowote mie ! Warembo wapo ankoo!Wewe mummy navyokuambiaga we ndo mrembo wa JF na selfika huniaminigi eeeh sio??
Siku jaribu ufungue pm uone vurugu itakavyokuwa huko. π π
Kumbe auntiee yangu una miguu mizuri hivyo ya bia kabisa
Aalaaa umasall wasal maaallleeeπ!!hahaha!
Naanzia wapi?
Ujue mnywani umesimamia ukucha
Jitazame kwenye kioo kwanza na ujipige kifua mara tatu.
Takbirrrrr rrrrrrrr
Ahaa Huyo ni mkaka ni kachalii tu !Nimesema wewe ni mzuri ndiomana utofauti ukaonekana kati yako na msafishaji
kusimamia ukucha tena mnywanii ππ!hahaha!
Naanzia wapi?
Ujue mnywani umesimamia ukucha
Jitazame kwenye kioo kwanza na ujipige kifua mara tatu.
Takbirrrrr rrrrrrrr
Umeanza kujichetua sio. Haya acha nikae kimya EYES DONT LIE.Hapana sina urembo wowote mie ! Warembo wapo ankoo!
Baby gurl moja ya mwishooo ππUsiku mwema wapendwa mrare unonooo!!
Mtoto umeenda hewani!kusimamia ukucha tena mnywanii ππ!
Ntahakikisha wifi yako anafanana na ww.Mnywanii mnywanii mnywanii hadi wewe wa kuninafkiaa kweli mnywanii π !!
Sina Hizo sifa hata!!
cheupe kishanibana sikuhiziiiππ! Afu kile nikikivaa nakua kama kadenti ka form two!! Nakua kama katoto π€ π€ π€Mtoto umeenda hewani!
Sikupatii picha na high hillz zako na ki gauni kile cheupe
Mweh mie ni Kamera tu ankoo ukichagua chagua chombo kweliiii kweli!!Ntahakikisha wifi yako anafanana na ww.
Maana,,,,,, π«’
Ile hope unaivaaga kwenye send off tu uko.cheupe kishanibana sikuhiziiiππ! Afu kile nikikivaa nakua kama kadenti ka form two!! Nakua kama katoto π€ π€ π€
Si kama ww afu acha kusingizia camera.Mweh mie ni Kamera tu ankoo ukichagua chagua chombo kweliiii kweli!!
Mmh na ww pia auntiee mzuri ππππ€π€π€π€π€π€Usiku mwema wapendwa mrare unonooo!!
Usijareee kabesa mnywanii Likizo Kam kauwaaaaa πππ€ π€ !Ile hope unaivaaga kwenye send off tu uko.
Siku utoke nayo tuelekee kwenye ampiano mnywani
Shukrani sana ankoo π€π€π΄π€π΄π€π€π΄π΄π΄π€π€Mmh na ww pia auntiee mzuri ππππ€π€π€π€π€π€
Ulale kama mtoto mdogo malaika wa ulinzi akulinde
Huna baya lala na uzuri wako kesho nayo ni siku ukamuabudu Mwenyezi Mungu aliyekuumba ukawa mzuri hivyo.
Unangaa kama dhahabu. Malkia wa sheba kweli kweli.
Sleep well auntiee π΄π΄π΄π΄π΄
Hahaha! Nimecheka Kama nini.Usijareee kabesa mnywanii Likizo Kam kauwaaaaa πππ€ π€ !
Ntakitupia tukarukee majoka nione mnywanii akee unavobambia maduu πππ€ !!
π€£π€£π€£π€£π€£shem nitakuchapaMikono ya mkandaji hapana kwa kweliππππ hao wenye mikono ya hivyo ndio wanasugua kiharage km anataka kuwasha moto, afu wabishi hawapendi kuambiwa ukweli
nakupendaa tuuu β€οΈβ€οΈπππΆββοΈ
aaah weee bibi banaπ π π πKm kiboro chako kilivyo na unyafuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]