Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio mimi ni Cute wife ndo kasema ankooo! Hakiii Nimecheka hadi wananishangaa hukuu[emoji1787][emoji1787]

Hivi unajua mimi nje ya jf ni mpole sana huwez amini mpk babe wangu haaminigi uchizi wangu wa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikono ya mkandaji hapana kwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao wenye mikono ya hivyo ndio wanasugua kiharage km anataka kuwasha moto, afu wabishi hawapendi kuambiwa ukweli
Ahahaha dah πŸ˜…
 
Ilikua ya milonjo Yangu tyuu ankoo!
Daaaah aiseee aiseee. Aiseee

Tonnia tonnia tonnia nimekuita mara 3.

Mdomo komaa acha ninyamaze 🫒🫣.

Mbona πŸ€”πŸ€”πŸ€” aaah sijui niseme au ni nyamaze duuh

Mummy upo vizuri acha niseme kiufupi tu maana,,,, πŸ’πŸ’πŸ’
 
Editing utaziweza basiii ankooo🀠🀠🀠😁! Teknologia tyuuu
 
Hivi unajua mimi nje ya jf ni mpole sana huwez amini mpk babe wangu haaminigi uchizi wangu wa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hunizidi Mimi uduguuu ukiniona live huwezi amini!! 😁😁😁! Kiuhalisia Nipo mpole sana Afu nipo kiboya boya tu 🀠
 
Penseli 4 niwaoneshe kigimbi na milonjo Yangu changu thuutruuuuuu!!!🀠🀠🀠🀠
Wewe mummy navyokuambiaga we ndo mrembo wa JF na selfika huniaminigi eeeh sio??

Siku jaribu ufungue pm uone vurugu itakavyokuwa huko. πŸ˜…πŸ˜…

Kumbe auntiee yangu una miguu mizuri hivyo ya bia kabisa
 
Hunizidi Mimi uduguuu ukiniona live huwezi amini!! [emoji16][emoji16][emoji16]! Kiuhalisia Nipo mpole sana Afu nipo kiboya boya tu [emoji1783]

Sema ukiwa church girl sana lazima udate baadhi ya fyuse zinakatika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwann???
 
Anayekuosha mbona camera haijamtoa vzr?? Wewe udugu wangu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Msafishwaji ndio nilikua napiga nilikua mbele yake ningempiga yeye magoko yangu yasingeonekana afu nilikua napiga kwa kuibia 🀠🀠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…