Usiponiona huku basi jua sina bando, Ila hapa nyumbani siwezi kuhamaWe mbona sikuiz una hama uku mdogomdogo
Mmekumishii dogooooSamaleko mtoto wa dada.
π π π π .. mboo sio vitu vya maana hata.. kuliko urafiki.. watu wakisameheana patakuwa poa sanaaa...Mabolo yamewagombanisha[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!jamani byeee
Hayanihusu ,mi Sina timu!!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Can't wait for it babe girl. Ila PM yangu inasumbua i'll see what to do ili nipate kuona[emoji3059]
πππNa wakizubaa nao nakuja kukaa na mke hapahpa
π€£π€£π€£π€£ Kwanini ukapange wakati shemeji yupo tena ushuani kabisaaaNa wakizubaa nao nakuja kukaa na mke hapahpa
NipoMmekumishii dogoooo
Ahaa salamaleko uncleèeeeSamaleko mtoto wa dada.
Hapana aise, hivi vitu situmiiππ€£π Jack Palladino[mention]Intelligent businessman [/mention] View attachment 2709192
Ni ufala mm ata nibuane na mtu siwez mdhalilisha najua hasira zikiisha qtajutia yeye aliedhalilishaBaadae azirushe mkitibuana akudhalilishe
Na unapewa hela ya boxer af unatoka kirahisi tu unalal uku kiyoyonzi kkinakupiga hapaπ€£π€£π€£π€£ Kwanini ukapange wakati shemeji yupo tena ushuani kabisaaa
π π π zamani palikiwa ni π₯π₯π₯π₯ ila fresh labda itajirudia tenaSure mkuu ilikuwa peaceful mimi hapa nilipapenda sana nikatoka uko nikawa nashinda hapa ila now natafuta chimbo
Niko nanjilinjii ππ€£π, jirani yake mawardat πHee kwani huku kuna wa mkoani?
Me nilifikiri Jf wote huku ni wa daslamu
Naomba na mimi Dompoπ
huo utoto tu, zamani haukuwepo hapo.. ilikuwa poaaa sanaaaa.. mahala pa kiishaingia uzinzi na uasherati fitina zinaanza π₯΄π₯΄Baadae azirushe mkitibuana akudhalilishe
Sema we mnyama, mpaka sisu Ume angaliaππNimeshtuka
Uliona SISU wakati haikuwa kwoti yako
ππ
Sizani kuna vivuruge hapa wamevamia kipindi iko ilikuwa kitu cha selfika kinaisha kimya kimya ukuti mtaani uko kinazagaa now unakuta mpaka thread umeanzishiwπ π π zamani palikiwa ni π₯π₯π₯π₯ ila fresh labda itajirudia tena
Yaani utoke kwa ajili ya watu?Sure mkuu ilikuwa peaceful mimi hapa nilipapenda sana nikatoka uko nikawa nashinda hapa ila now natafuta chimbo