Nililewa mapema nikapoteza network, nisamehe bureHuku toa code, nilipotoka wavuvi nikaenda boardroom
😅😅😅😅 labda mtoto pisi kali ataona hurumaa.. maana nae ana noyo wa nyamaa huenda akamuonea hurumaNa soon tuta mzika x wake😁😂🤣, Unique Flower on the beat🤣🤒
kama kauwaaa kama dawaaa 🙂🙂🙂
Unique Flower uko wapi shost anguOya Lenie Maua saa sita hajambo😂🤣🤒
Nusra aue mtu😂🤣😁Unique Flower uko wapi shost angu
Wafe tu 😂😂, maana Nina Mwaka sijala nyama ya msibani 😂😁😅😅😅😅 labda mtoto pisi kali ataona hurumaa.. maana nae ana noyo wa nyamaa huenda akamuonea huruma
We mkiachana, ita kuwa sisu part 2😂😁Wasikutag tag
Dah ko ngapi ngapi🤣😂😁Mnasomaga kila comments aisee
Muda mnao 😆😆
sitaki ma notification yao 😅😅Wasikutag tag
hatuachanagiWe mkiachana, ita kuwa sisu part 2😂😁
kikubwa feedbackWakiachana au akiachwa?🤣
Tena huyo ataachwa humu humu selfika tukishuhudia
tatizo mmbishi toka mchana ungekuwa umekuja nikupige power.. ungekuwa mzima kabisa
Nyie jamani😂ex wake kaamua kuwa mbogo.. 😅😅
Huko alipo atunzwe na Mungu
ulisema leo .. nasubiri hapa 🙂🙂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weekend leo tunaomba selfies za kutosha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]