Ni kweli nilipotoa ile post
Mwachiluwi na
mshamba_hachekwi nani nimchague mbona ulishadadia je ningekuwa serious na huo uzi kuwa ni wewe na huyo ndio nilikuwa nawataka halafu nikute unamlilia huyo mdada ningejisikiaje hata wewe hujatulia wote mlikuwa hamjatulia ulikuwa unamtaka kila mtu wewe ni bendera upepo. Ukitaka usifanyiwe ubaya usiwafanyie wenzako upo na mtu bado kila mdada humu unamuita babe wewe ndio unapenda kuwa free ila sio mwenzio