Udugu wee kama Mie Walai naogopa dawaa kama Mtoto!! Yani hata Panadol kumeza mi kasheshee [emoji16][emoji16]!!
Yeah unywe maji mengii yanasaidia sana!
Kaka nime onesha upendo tu, Kama ni makosa nisamehe🙏🙏Ungeweka bila kunjqoute
Kuachwa kuachwa
Kuachwa ni shughuli pevu
Mbaya zaidi kwa yule uliye mpenda
Wewe una geuka mwana mashairi
Pluss presha na kuponda
Yeye Yuko bize, Wana mgonga[emoji16][emoji23][emoji1787]
Cc mshamba_hachekwi, Cute Wife, Penseli 4, Ms eyes, National Anthem, Unique Flower [emoji847][emoji16]
Ajee akuponyee uduguuu usimbaniee lol! Sipati picha nahayo mafua yalivokulegeza utavodekaaaa[emoji1783];!
Ahje muenjoy kipenzi maisha ndio hayahayaaa!!
Nimpate vipi mi sijui
Nina imani mapenzi hayajui
Nitapata ugonjwa wa moyo
Kwa sababu ya mawazo
Ninavyo jua maisha yake
Hajawahi kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wa kwanza
Na ninashindwa kumpata
Kwa ishara naonekana nampenda
Yeye eti mi namzingua
Eti kama angilikua anasikia
Basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara naoneka nampenda
Yeye eti mi namzingua
Eti kama angelikua anasikia
Basi ukweli wangu angeujua
Ningemzowea rafiki yake
Basi mi ningemtuma
Ningezitambua ishara zake
Kwake mi ningefika
Ningemzowea rafiki yake
Basi ningemtuma
Ningezitambua ishara zake
Kwake mi ningefika
Sicilia ninampenda
(Binti kiziwi)
Moyo wangu wamtaka
(Binti kiziwi)
Sicilia nateseka juu yake
(Yeye binti Kiziwi)
Sicilia ninampenda
(Binti kiziwi)
Moyo wangu wamtaka
(Binti kiziwi)
Kichwa kinauma mawazo
(Kwake binti kiziwi)
Nashangaa pale napomkuta
Akiwa na wenzake wanaongea
Huwa najiuliza mimi
Wanaongea naye vipi
Nashangaa pale napomuita
Nahisi huwa anakataa
Sijui ndio hasikii
Au mapozi au mapozi naye
Afadhari angejua kusoma
Hata hatari ujumbe ningempa
Eti kama ningejua ishara
Basi kwake ningefika mimi
Afadhari angejua kusoma
Hata bonge ujumbe ningempa
Eti kama ningejua inshara
Basi kwake ningefika baby
Inauma ila itabidi wazoee🤣😂😂Tushafika kwa binti kiziwi tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaha yana kufurahisha?
Hapana naonesha upendo[emoji1787][emoji23][emoji16]
Cc mshamba_hachekwi
Which?Kaka nime onesha upendo tu, Kama ni makosa nisamehe🙏🙏
Ahahaha mapema?Tushafika kwa binti kiziwi tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm ata nyumban bad sijafikaYananisogezea muda wa kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
😅😅😅 Mi mpaka nakuotaga kabisa.Wakeykum salaaam ankoo akee!!
Miss youuuu sanaaaaa jamaneee!!
Mapenzi gani🤣😂😁Upendo au uchokozi?? Mwenzio kazama penzini na kutoka hawezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kakutaarifu kuwa nahitaji upendo?Kaka nime onesha upendo tu, Kama ni makosa nisamehe🙏🙏
Samahani mkuu, lugha ya malkia mkoloni siijui??Which?
Samahani sijui kiingereza, shortaga maana take nini 🤔??Nani kakutaarifu kuwa nahitaji upendo?
Uliambiwa nina shortage of love?
Sio shida zanguSamahani mkuu, lugha ya malkia mkoloni siijui??
Ahahaha mapema?
NishamalizaSamahani sijui kiingereza, shortaga maana take nini 🤔??