Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah $200000- hio ni m400 na ushee😃😄🤒, mtu haoni tabu kununua hata hisa 200 za apple au coke🤒
 
Mwanamke ni pambo.. kwa kidume wataka kuona nini.. alafu nani kakurisha tango kuwa na kitambi

Weka nithibitishe basi, hakuna mtu aliyesema una kitambi bhana mi nilikua nakutania tu best [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ko pic unaweka au niendelee kuteseka na kichwa changu??
 
Weka nithibitishe basi, hakuna mtu aliyesema una kitambi bhana mi nilikua nakutania tu best [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ko pic unaweka au niendelee kuteseka na kichwa changu??
Kama umewahi ona pic ya Ms eyes ... ujue ni kama umeniona mie... unateseka hutaki kuchezea kitomboeer.. kubali tu upone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…