Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Mbona sihusikiπππ€Anajua juzi aliiba mtu humu halafu kimya,mwenzake akaanza kulia akafungua uzi,so becareful mudada
Mchumba wa nani huyoYes,alimuiba nchumba wa katoto kawatu
Watu wanataka kuona warembo bhanaa πNasubiria yako, ukituma na mie nafata.
πππ roho itakushangaaa kwanzaa . mie na Depal wengine wanaingilia tu penzi letu.. huwa tunakuwa na vi likizo vifupi vifupi.. sasa jikune uoneKwa niaba ya shemeji yangu, Nita kutoa Roho mbiga weeππ
Usiamini la kuambiwaππMchumba wa nani huyo
Nazungumzia mkeo, mi ndo shemeji yakeπ€πππ roho itakushangaaa kwanzaa . mie na Depal wengine wanaingilia tu penzi letu.. huwa tunakuwa na vi likizo vifupi vifupi.. sasa jikune uone
AnamjuaBest yake nani huyo ulimliza
Sitaki mtaua wapenz wenu πππ Wakiona Aaliyah tu wanameza mate mazito ππππI missed you πππ
For realππAnamjua
Nime sema, I missed youπSitaki mtaua wapenz wenu πππ Wakiona Aaliyah tu wanameza mate mazito ππππ
π π π mke aliingilia mawimbi ya kipenzi changu.. ila mke ni huyu yani.. sijui nani aliroga walahiNazungumzia mkeo, mi ndo shemeji yakeπ€
Nashangaa sijuj Aaliyyah kawaje π€π€,Nalala nimechoka nimekuachia popo uingie lindo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu wewe unawapambanisha mababe zako kikinuka unakula njoro
Eeeeh heeee. Mungu yu mwema
Apo ndo umebarikiwa le supa mtindiz unaogopa! Ungepewa sura ya kazi ya mzee! Nawe ungekua una pita mbali na uzi eh!Sipendi bana, tutaacha kupost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππNime sema, I missed youπ
Mbona Niko single jf nzima π€π€Sitaki mtaua wapenzi wenu
πππNalala nimechoka nimekuachia popo uingie lindo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu wewe unawapambanisha mababe zako kikinuka unakula njoro
Mamboππ