National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mie mzimaaa kabisaa shangazi mrembo mzuri.. Nimefurahi kukuona shangazi yangu... ,mie mzima kabisaa.. waendeleaje na hali yakoNipo Ankol habari zawewe. Uko poa?
Mrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah πππMtrotro mkaree Bantu Lady pia yupo mjombaa atakua ametingwa kidogo ila I hope yupo njema kabisa!?/
Kwakua nimekuona upo vyema shangazi yangu mzuri pamoja na Antonnia .. sasa naweza kwenda kwa amani kula bata zangu.. Nime wa miss tayari in advanceMrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah πππ
Asante sana Ankol, ni furaha yetu pia u mzima. Tunamshukuru Mungu, nimefurahi kukuona pia Ankol wetu mwenyewe huna baya πππKwakua nimekuona upo vyema shangazi yangu mzuri pamoja na Antonnia .. sasa naweza kwenda kwa amani kula bata zangu.. Nime wa miss tayari in advance
Sun kissed π₯°
njoo sasa kwanza, ulione dekio
Nafurahi kukuona kipenziiiii mjomba alikua anakuulizia !Mrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah πππ
Li dekio ndio linini tena udugu lol??? π€ π€ π€Liselfishe hapa wadau wanishauri km liko vyedi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na wewe wekaπSun kissed π₯°
Li dekio ndio linini tena udugu lol??? [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Weee!! Mwamba bado hajanibwaga vizuri....ππHayo ndio maneno sasa... nitakurudisha kwako next week.. beba na nguo
Jamani....kwani nimekukosea nini??ππππWe nitakuroga tu.
Ya nini??ππaiseeπ
hongera
pajaπYa nini??ππ
It's the sweetest there is!!!βΊοΈβΊοΈSun kissed π₯°
Hahaha.....................zilitoka Juzi, ila kuna Kijana aliniambia twende nazo Kitambaa cheupe tukale maisha, huwezi amini mabinti wa mule hawana huruma kabisa kwa Wazee.Zile pesa unazofatilia zishatoka daddie [emoji7][emoji7][emoji7]