Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 30, 2019 #3,541 Atoto said: Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje? Click to expand... Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah
Atoto said: Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje? Click to expand... Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 30, 2019 #3,542 Atoto said: Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje? Click to expand... Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka
Atoto said: Yaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje? Click to expand... Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,543 Saint anne said: Alienda PM Yaani huyu alipitwa na Basi stand Click to expand... Asijali, atatumiwa pm.
Saint anne said: Alienda PM Yaani huyu alipitwa na Basi stand Click to expand... Asijali, atatumiwa pm.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 30, 2019 #3,544 Atoto said: Una hakika sikuwepo? Nilikuwa napita kimya kimya. Ile nataka nikuquote nikwambie ukaifuta. Ila niiiona. Click to expand... Mimi yako sijaiona Fanya unitumie Basi sister
Atoto said: Una hakika sikuwepo? Nilikuwa napita kimya kimya. Ile nataka nikuquote nikwambie ukaifuta. Ila niiiona. Click to expand... Mimi yako sijaiona Fanya unitumie Basi sister
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,545 Karma said: sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara Click to expand...
msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,928 Reaction score 2,440 Sep 30, 2019 #3,546 miminimama said: Nimekaa! View attachment 1219239 Click to expand... Embu simama tuone
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,547 Mshana Jr said: wee si unafuta? Click to expand... Sifuti, nahisi kuna hujuma unanifanyia zinapotea ktk mazingira ya kutatanisha.
Mshana Jr said: wee si unafuta? Click to expand... Sifuti, nahisi kuna hujuma unanifanyia zinapotea ktk mazingira ya kutatanisha.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 30, 2019 #3,548 Atoto said: si unaona sasa Click to expand... kwanza sijaiona
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,549 Karma said: Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah Click to expand...
Karma said: Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah Click to expand...
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Sep 30, 2019 #3,550 Atoto said: Wewe kafanye tu sitoifuta, utaikuta. Click to expand... Shukrani mpendwa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,551 mshipa said: Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka Click to expand... Wacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.
mshipa said: Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka Click to expand... Wacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 30, 2019 #3,552 Hawachi said: Page namba ngapi nakajionee Click to expand... Chambua taratibu utaikuta
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,553 Saint anne said: Mimi yako sijaiona Fanya unitumie Basi sister Click to expand... Halafu ukajisingizia kitambi Hebu nipe siri ya mafanikio. Ila tu usiniambie nisile ugali tafadhali.
Saint anne said: Mimi yako sijaiona Fanya unitumie Basi sister Click to expand... Halafu ukajisingizia kitambi Hebu nipe siri ya mafanikio. Ila tu usiniambie nisile ugali tafadhali.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,264 Sep 30, 2019 #3,554 Hawachi said: Hivi why mtu uweke picha na kufuta,mnatupa tabu wenzenu tunarudi nyuma kusoma comments na picha tunakuta imefutwa. Click to expand... Nakazia 😂😂 ni bora wasiweke tu wanaboa bana. #Povu
Hawachi said: Hivi why mtu uweke picha na kufuta,mnatupa tabu wenzenu tunarudi nyuma kusoma comments na picha tunakuta imefutwa. Click to expand... Nakazia 😂😂 ni bora wasiweke tu wanaboa bana. #Povu
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 30, 2019 #3,555 Saint anne said: Alienda PM Yaani huyu alipitwa na Basi stand Click to expand... Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewa
Saint anne said: Alienda PM Yaani huyu alipitwa na Basi stand Click to expand... Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,556 Karma said: kwanza sijaiona Click to expand... Nimeghairi maana hautoamini.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 30, 2019 #3,557 Avatar mok said: Yap kabla ya kuja na app Click to expand... Unazijua pages za browser zilivyojipanga??
Avatar mok said: Yap kabla ya kuja na app Click to expand... Unazijua pages za browser zilivyojipanga??
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Sep 30, 2019 #3,558 Atoto said: Wacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa. Click to expand... Aaah wapi
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Sep 30, 2019 #3,559 Karma said: sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara Click to expand... Kuna watu wakifuta picha siumii kivile ila sio Atoto na Saint anne 😀😀😀😀haiwezekani yaani.
Karma said: sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara Click to expand... Kuna watu wakifuta picha siumii kivile ila sio Atoto na Saint anne 😀😀😀😀haiwezekani yaani.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,487 Reaction score 176,541 Sep 30, 2019 #3,560 mshipa said: Aaah wapi Click to expand... Haya bwana.