Hahah mimi mwenyew kiboko ninawivu pro max πππngoja nijaribu kukuonea wivu wewe nione itakuwaje
ohooo.. acha niendelee kukazaa.. hadi muachane.. alafu na mie nimenunua subaru.. tayari..Kuna dalili flani flani ila bado hatuja-finalize mambo!π
basi tutaona nani ana wivu mkali zaidiHahah mimi mwenyew kiboko ninawivu pro max πππ
Kwamba tushindane Mimi nitashinda πππbasi tutaona nani ana wivu mkali zaidi
Kabisa yaani ni shida Kuna wengine hawana wivu ni matatizo [emoji3][emoji3]Umenikumbusha zamani nikitoka kabla sijaenda kwangu lazima anione anuse nguo km Sina harufu tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute ulienda vikundi vya kinamam harufu tofaut tofauti Kama ulimuhug shogaako andaa maelezo ππππMambo kama hayo yanakera sana[emoji28]
Huwezi nishinda mie aisee.. lazima nikushindeeKwamba tushindane Mimi nitashinda πππ
Aka Sponsa ππKwakweli hapana loohπππShuga dadi[emoji1787]View attachment 2706393
Ahahahah mnajua kuunganisha dot ahahPenzi limetaradadi πhongera
Ukute ulienda vikundi vya kinamam harufu tofaut tofauti Kama ulimuhug shogaako andaa maelezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha si tulikubaliana nakuja kuoa kwenuSo utawaita warembo shemeji hadi lini?
Ahahaha si tulikubaliana nakuja kuoa kwenu
Ni wakat wako kijana πAhahahah mnajua kuunganisha dot ahah
Special case ni Kwamba nimevamia mtumbwi wa vibengwoπππDuh jamaa alikuwa na wivu sana. Vipi wa sasa hivi?
Ata akinilea? πAhaaa Dada yangu humuwezi kabisa[emoji28]
Mimi sasa nakupenda weweNi wakat wako kijana π
Tunaishimara moja tu wanasema ukipata nafas ya kupenda pendaSana ukipata nafasi ya kufurahi furahi sana maisha kubadilika ni dakika moja tu
Special case ni Kwamba nimevamia mtumbwi wa vibengwo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ata akinilea? [emoji23]