Huyu dogo ana tatizo sehemu. Saa 2 anampenda ms eyes, ikifika saa 3 anampenda cute wife, ikifika saa 4 anahamia joanah, ikifika saa 5 anakua kasahau anarudi tena ms eyes
Pen and paper its time to get college/
sinukii perfume wala sinuki jasho/
nani anafyumu uswazi hakuna mipasho/
kuna mererani, ngome, jela na uraiani/
pembe tatu za maisha r-back tang ngara be careless one and siwezi kuwa be careless one/
kama kufanya nafanya sifanyi matusi/
kama kuchana nachana, sichani ku-diss/
Coca na madunya siwez wamiss, mdomoni kama halipi siwezi kiss/