Anyoe tu vizuri, avae kigentleman sio unavaa nguo za rangi rangi( midosho)Ambae hasuki na kuweka bleach kwako fresh?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si mpaka ipande kichwani. Hapa ndio kwanza ipo kwa mguu
😂😂😂nimekubali yaishe😅
Haipingwi hii
kizazi sanahope there is no bad blood bro🙏🏾
post #328,731😂😂😂
Selfika tukuone
Ninayo tayari kwenye fail langupost #328,731
dah, tayari niko kwa bed mbona , nangoja zile docs tu kwa pm 🙂Selfika tukuone mkuu[emoji23][emoji23]
aisee😂 nimeshaconfess lakini, moyo ni mwepesi😂Hebu ngoja nipumzike maana ikifika saa sita usingizi ndio basi tena
labda kama ukinipa yako kwanza😂Ninayo tayari kwenye fail langu
Naomba mpya😂😂
Docs zifate😂😂😂dah, tayari niko kwa bed mbona , nangoja zile docs tu kwa pm 🙂
nime scroll mpaka basi leo holaDocs zifate😂😂😂
Nkutafutie nkuletee tena😂
Malaika wa heri walisikika nilipozaliwa wakisema, huu muziki wa Africa umezawadiwa tena...Kwan wewe ni celeb? [emoji23][emoji23][emoji23]
Banyeta to the world🤒🤒nime scroll mpaka basi leo hola
zile hot hot sizioni mbona
😂😂😂😂😂labda kama ukinipa yako kwanza😂
I mean no malice to you either 🫥Banyeta to the world🤒🤒
we miyeyusho tu, nshakuzoea😂😂😂😂😂😂
Kesho muda kama huu natuma, ili niamkie photoshop ning’arishweee
Sio kweli. Mnachanganya kati ya celebrities na selebrities. Tatizo lipo kwa hawa selebrities. Unaenda ku-date na dullah makabila unategemea nini?Wale wanawezana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😆😆😆nime scroll mpaka basi leo hola
zile hot hot sizioni mbona